KILA LA HERI RWANDA. NGELEJA©UPP Uchaguzi umewadia, Raisi kumchagua Agusti nne historia, Rwanda imeshatimia Amani tulojiwekea, Ni vyema kuilinda pia Sote ni ndugu raia, Na nchi imetulia Kila kheri nawaombea, Na chaguo jema pia.
Tujadili fasihi Tujiunze fasihi Tuandike na kufurahi. Maabarayafasihi.