Skip to main content

Posts

Showing posts from February 20, 2017

Poem Of the Day

         DESIRE ..... To see political preaches democracy Of which dictates by African leaders To see religious demonstrate humanity Of which corrupted by African saints To see the country stops corruption Of which entertained by African people To see African children work as precious Of which riches use them as labourers To see African culture as valued as black color Of which African people forget their identity To see former leaders stand for patriotic Of which currently leaders adopt Westernism To see education reaches it's destination Of which forbidden by Africans societies To see this poem everybody reads Of which writing ignored by Africans.                            barakangeleja@yahoo.com                 All rights reserv...

NEEMA: "NISAMEHE MAMA".

   NEEMA : " NISAMEHE MAMA ". SEHEMU 01. Wakati baba yake NEEMA anaaga dunia, Neema alikuwa tumboni mwa mama yake akiwa na umri wa miezi sita. Msiba wa Mzee Kajumba uliwahuzunisha wengi hasa kutokana na sababu kuwa Mzee Kajumba alikuwa mcheshi na kiongozi makini mwenye kujali demokrasia katika kijiji cha Sarando . Mzee Kajumba alipatwa na mauti siku ambayo alikuwa na baadhi ya rafiki zake kwenye kilabu cha pombe kwa Mzee Nzukwa . Baada ya kupata kinywaji hicho, aliamua kuwaaga wenzake ili arejee nyumbani mapema. Ilikuwa saa mbili usiku, na wazee hawa walizoea kurudi nyumbani kuanzia saa nne na wakati mwingine mpaka saa tano usiku. Siku hiyo, Wenzake walimshauri awasubiri ili waende pamoja ila Mzee Kajumba alikataa hivyo akaanza safari kurudi nyumbani huku akiimba wimbo alioupenda siku zote. Ni wimbo wa kumsifia mke wake Bi Tausi ulioimbwa:   Mzuri ni wewe tausi wanguuu Moyo wangu umekukumbuka tausi wanguu   Nakuja nyumbani mama tausi wanguu   N...