Skip to main content

Posts

Showing posts from February 25, 2017

Poem of The Day.

       Ante Up Ante up When the sun arise Back on one's feet Anon the sun sets At all costs Work before twilight Not below par Dark delight gaderian.     Contact ... 0756775148

War

From friend, Please share your poem through contact 0756775148

Phoenix

From friend... You can send yours

I miss you

From our friend You can send your through contact 0756775148

Blush

From our friend, so send your poem and we will publish here...... Contact..... 0756775148

THE DOWNFALL OF DRUGS FORT... 01.

     THE DOWNFALL OF DRUGS FORT. ( Kuanguka kwa ngome ya madawa ya kulevya ) "Kijana njoo tafadhari" Ilikuwa ni sauti ya mwanaume aliyeongea baada ya kushusha kioo cha gali lake jeusi aina ya V8. Nakumbuka ilikuwa ni jumatano asubuhi ambapo kama kawaida nilipenda kwenda Manzese darajani kusoma magazeti labda nitabahatisha nafasi ya ajira. Baada ya kusikia sauti hiyo na kujiridhisha kwamba Mimi ndiye naitwa, niliamua kusogelea gali ile. "Vipi unahitaji kazi?" Aliuliza. "Ndiyo brother nahitaji na hata hapa ninaangalia kurasa za magazeti kama nitapata tangazo la nafasi za kazi" Nikijibu kwa mfululizo kama nimeulizwa ninafanya nini mahali pale. "Ingia ndani ya gali tuongee kijana" Akisema nami nikatii na kuingia ndani ya gali lake hilo. "Naitwa Mr SUNi, Mimi ni mfanyabiashara hapa jijini na nina biashara tofauti tofauti zenye kuingiza pesa nyingi sana" Alijieleza "Naitwa CHIDO" Nilijibu kwa hofu huku nikiangalia pemb...

JOKA LIKUJUALO.

Sehemu 01. BAHATI ni Kijana wa pekee katika familia ya Mzee Mkuti. Kijana huyu akiwa darasa la pili tayari alikuwa ameshaanza kuchunga mifugo ya baba yake kama vile mbuzi na kondoo. Alifanya kazi hiyo kila siku za jumamosi na jumapili ambapo anakuwa haendi shuleni. Mama yake alimpenda sana bahati na Mara nyingi Kabla hajaenda kuchunga aliandaliwa viazi na Karanga za kutosha ili atumie anapokuwa kwenye machungo, Mama alipenda kumkumbusha bahati kuchukua maji ya kunywa maana jua kali huleta kitu cha maji na sehemu anayoenda kuchunga hakuna makazi ya watu. "Mwanangu umekumbuka kubeba maji ya kunywa ya kutosha?" Aliuliza Mama kila siku ambayo Bahati alikua akitoa mifugo zizini tayari kwenda kuchunga. Bahati aliipenda sana kazi ya kuchunga kwa sababu alikuwa mvivu wa kuchota maji na kutafuta kuni nyumbani. Hivyo akijitahidi kuwahi kuondoka asubuhi na mapema ili asibadilishiwe kazi. Akiwa machungani Bahati alipenda kupanda huu ya miti ya mapera na maembe, mara chache alikutana...

Poem of the Day

        LOVE MAKES... Fool speaks wise thou can not repeat twice The world carries rubbish my heart bears yours I drug you love like cocaine trap's Like musical dancer sharks no slides Love makes mistakes better know Hence heart wonders like empty boat No one controls thou they heard cries Now you drive a little crazy no sweat Coz falling love is to fall marve Love makes mistakes better know Friends taught how to cheat I realize Not much I did please don't turn your back Hate faces yes, but me is no wrongdoer I can kneel before you to beg apology Love makes mistakes better know Face no smiles tear drop daily Mouth can't speak charming teeth shakes Can't walk, cook, watch or read than write Never hate love I learn better hate loving Love makes mistakes better know..                   Contact .... 0756775147