Skip to main content

Posts

Showing posts from February 27, 2017

Script writing Updates

Uandishi wa Script hii inaendelea vizuri.

NEEMA: NISAMEHE MAMA ... 02.

ILIPOISHIA SEHEMU ILIYOPITA ..... Mzee Kajumba alishindwa kupambana na dhoruba Kali ili kuokoa maisha yake, hatimaye Akakata roho ,,,, je nini kitaendelea Wakati Kyle nyumbani mkewe hajui lolote ?????? ENDELEA ......... Usiku huo Bi tausi hakuwa na raha kabisa ndani ya chumba chake cha tofari za udongo ambacho kimeezekwa na nyasi. Alijaribu kutoka nje ili aone labda Mzee kajumba atakuwa amefika lakini upepo mkali haukumpa nafasi kutoka nje hivyo alijaribu kuchungulia tu wala hakuweza kuona mbele sababu ya giza kali. Akajisemea moyoni mwake ' huenda atakuwa kwa rafiki yake Bwana Juma'. Lakini haikuwa kawaida ya Mzee kajumba kuchelewa kiasi hicho jambo ambalo liliendelea kumpa wasiwasi. Aliendelea kumsubiri mme wake kipenzi mpaka usingizi ukamchukua akiwa amekaa kwenye kiti cha marimba ndani ya chumba chake . Wakati usingizi unamwachia Bi tausi ilikuwa yapata saa tisa na nusu usiku. Alipoamka hakumwona mme wake ikabidi apate hofu zaidi, bila kujali usi...

Poem Of the Day

      A LONG FACE. She knocks up early Very early in the morning Nobody is out around her Startles cleaning the house Whilst she slumbers on rags Washing vessels she not ever uses Heading for babies Though maternal age seen far to her Before dawn She washes clothes While she wears patches Cooking meals of the day She never dare to eat Only leftovers deserves Oh! Poor daughter Withal painful She completes works at 00AM Now all other people rest Low wages she earns Beneath 18 with ponderous duties Goes to sleep too tired Too tired indeed And wonderful Tears never flow on her eyes.              barakangeleja@yahoo.com               All rights reserved@2017.                   +255756775148