Skip to main content

Posts

Showing posts from August 2, 2017

EMPTY HANDS

EMPTY HANDS by Ngeleja© upp Solemn echo Shaken my arms Too much twinkle Troubles my days Struggles be for Yield but no fruits How far to be so Should achieve my grants

THE KILLER

KILLER. NGELEJA©UPP Black mask  Bloody teeth The vampire Defeat activists Revamp superiority Illuminated By devilish Many scream From homeless Hopeless no helpfulness Wandering left to right Eating mushroom Gifting nuts Celebrating mourns Families depart Going to war Healing their backs Pain nervously Dare not near Killer Muller Better Amini Dada Than Killer Murder.

AT 25 YEARS

LEO NAOMBA TUSHIRIKI JAMBO HILI: Duniani kote miaka hii ya 2000 vijana tumekumbwa na changamoto kadha wa kadha. Mfano Ajila, Elimu na hata Malazi na Magonjwa (kwa kutaja chache). Hali hii imepelekea wengi kukosa muelekeo sahihi wa maisha na hata ndogo za wengi kufutikia gizani. Kama kijana, yapo mambo mengi ambayo unapaswa kuyakamilisha au wakati mwingine kuwa nayo kabla umri ya ujana haujakuacha. Kumbuka siku zinasogea kwa kasi sana. Jiulize tuu hapo ulipo una miaka mingapi na baada ya miaka 5 ijayo utakua na mingapi. Hivyo basi zote ni changamoto ambazo tunapitia na tunatakiwa kuzishinda. Pamoja na suala la elimu (ambalo si lazima sana) kijana unatakiwa kufanya yafuatayo kabla hujamalikisha miaka 25. Ni mambo matatu tu: 1. Uwe umeshawahi kufanya biashara: hapa haijalishi kama bado inaendelea au ulifanya biashara kisha mtaji na faida vikaporomoka. Kikubwa uwe umeshawahi kufanya biashara yako binafsi. Hii itakuwa imekusaidia kujua changamoto ambazo zipo katika biashara mapeeeema uk...

ETI KISA UMEUMBIKA!!

ETI KISA UMEUMBIKA! NGELEJA©UPP Rabi sinipe mapenzi, sijapata wa kuyaenzi Bora n'zidishie tenzi, neleze hizi simanzi Liko wapi lile penzi, uloapa utalienzi Namba nane yako figa, moyoni mwangu ni mwiba. Sote tulitii kiapo, maisha yangu ni yako Hata popote tuendapo, u mlinzi nami ni wako Hani ulipo mi nipo, ilikua ahadi yako Namba nane yako figa, moyoni mwangu ni mwiba Miezi kenda yapita, mke hujanipa tunda Ndani warudi saa sita, hii tabia yanishinda N'kihoji wakunja ndita, eti mi si wa kukulinda Namba nane yako figa, moyoni mwangu ni mwiba Unapenda vitu ghari, pesa magari swadakta Unasema we mzuri, vigogo wengi wadata Wajipuliza uturi, na waenda kula bata Namba nane yako figa, moyoni mwangu ni mwiba Pombe wanywa nyakanyaka, nusu uchi wavaa Mwili watoa sadaka, wala huogopi zinaa Sio mabosi si vilaka, wote umewapa ridhaa Namba nane yako figa, moyoni mwangu ni mwiba. Wamekuhonga na gali, sasa na ndani hulali Ndoa wachezea kamali, Kwa mora dua nasali Kama sik...