Skip to main content

Posts

Showing posts from February 24, 2017

STRONG CURRICULUM VITAE.

Ili kuandika C. V yako na iwe bora unapaswa kuwa na angalau vipengele vifuatavyo. 1. Personal Particulars. 2. Education background/qualification 3. Work Experience 4. Training 5. Awards and Achievement 6. Skills 7. Memberships 8. Publication 9. Hobbies and Interests 10. Referees. Maelezo juu ya nini kinatakiwa katika kila kipengele yameandikwa vyema na kitaalamu kabisa katika #blog hii. Tafadhari tembeleA ili ujifunze zaidi.    Ushauri ...... 0756775148

Curriculum Vitae .... 3

Sehemu ya pili tuliona vipengele vya Education background/qualification na Work Experience, Leo tumalizie vipengele vingine muhimu katika uandaaji wa C. V. 4. Training . Hapa unapaswa kuandika mafunzo yote ambayo umeyapitia kwa kuzingatia mwaka yaani unaanza na recent training to old. Usisahau kuandika taasisi au chama kilichotoa training hiyo. 5. Awards and Achievement Katika sehemu hii unapaswa kuandika awards mbali mbali ambazo umewahi kutunukiwa. Inaweza kuwa shule ni, chuoni, kazini ama sehemu yoyote inayotambulika. Unapoweka award hiyo kumbuka ni lazima uwe na uthibitisho yaani cheti. Utaratibu wa uandishi ni kuanzia na recent to old. 6. Skills Sehemu muhimu sana na huangaliwa kwa jicho pevu wakati wa kuomba kazi. Hapa utaandika stadi zako na ujuzi ulionao, mfano lugha, reading, writing, computer, administration skills na kadhalika. Kumbuka unapoandika skill usiyonayo ni hatari kwa C. V yako. 7. Membership Katika sehemu hii unatakiwa uandike kama wewe ni member wa taa...