Skip to main content

Posts

Showing posts from April 2, 2017

RADHA YA MATE

        RADHA YA MATE Mwabwabwaja mwala nini, kwa kuhusudu kaumu Sara ndefu kama kaini, wenyeji twawalaumu Misemo yenu lakini, nipe yako ni muhimu. Radha ya mate maneno, Chakula huliwa na tumbo. Radha ya mate maneno, Chakula huliwa na tumbo Wengi wamekosa meno, waja kuufata mkumbo Jukwaa kumwagia wino, hoja zisizo msimbo Radha ya mate maneno, Chakula huliwa na tumbo.     0756775148