RADHA YA MATE
Mwabwabwaja mwala nini, kwa kuhusudu kaumu
Sara ndefu kama kaini, wenyeji twawalaumu
Misemo yenu lakini, nipe yako ni muhimu.
Radha ya mate maneno, Chakula huliwa na tumbo.
Radha ya mate maneno, Chakula huliwa na tumbo
Wengi wamekosa meno, waja kuufata mkumbo
Jukwaa kumwagia wino, hoja zisizo msimbo
Radha ya mate maneno, Chakula huliwa na tumbo.
0756775148