Skip to main content

Waandishi na Uandishi

Inasemekana kwamba Tanzania hakuna maandiko mapya!!! Kauli hii inamaanisha kuwa Tanzania hakuna waandishi ambao wanaandika yale mambo yanayoigusa jamii kwa kuzingatia muktadha wa sasa ( current situation). Inaweza kukustua kama nikisema kwamba Tanzania waandishi wengi hujali hisia zao na sio hisia za wasomaji. Sawa, kwa mujibu wa waandishi hasa kutoka Uyunani na Latin kama akina Plato na wenzake wanaamini hivyo ila kutokana na mabadiliko ya kijamii lazima tubadilike kwa kuzingatia nafasi ya uandishi katika jamii husika.
Kwa mfano, mwandishi ataweza kuandika kitabu, poem au jarida kwa kuangalia kitu ambacho ni mjadala katika jamii yake kwa Wakati huo na kazi yake ikavutia wengi kuliko kuandika kitu ambavyo kilitokea miaka kadhaa iliyopita.
Yapo mambo mengi ya kuzingatia unapoanza kuandika kazi zako ili upate mawanda mapana ya wasomaji. Maana uandishi ni tofauti na sanaa zingine ambazo huweza kuhusisha utazamaji, uandishi ni usomaji.
Zifuatazo ni sifa muhimu za mwandishi anayeendana na wakati katika jamii yake:

         Itaendelea..........

         Ushauri: 0756775148.

Popular posts from this blog

Curriculum Vitae (C. V)

Jana nilifika katika kituo kimoja cha afya na katika Harakati za hapaaaa na pale, nikiwa nimekaa kwenye benchi ili nipumzike kidogo. Nikiwa pale wakatokea wauguzi wawili nao wakakaa karibu yangu na wakaanza kuzungumza. Mmoja akamwambia mwenzake juu ya changamoto za ajira na jinsi alivyojitahidi kutafuta nafasi hata za kujitolea bila kufanikiwa, na yule mwenzake nae akamwambia jinsi alivyopambana mpaka kupata nafasi hiyo japo wanalipwa ila bado ni posho kidogo sana. Sasa, katika mazungumzo yao mwanzoni hayakunihusu japokuwa niliyasikiliza Si unajua tena sikio halina mlango lakini walifikia kipindi wakanishirikisha kwa namna moja ama nyingine hasa walipoanza kujadili vikwazo walivyokutana navyo. Ni vikwazo vingi ila hivi viwili vitakuhusu hata wewe pia. Wakisema cha kwanza ni kuandika barua ya kuomba ajira ama kujitolea na ilitakuwa iandikwe kwa lugha ya kiigereza na kingine ni kuandaa wasifu binafsi (c.v) inayoonesha mtiririko mzuri wa taarifa zako. Hapo sasa wakanishirikisha. Ngoja ...